Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wahama kwao kutokana na mafuriko mlima Elgon

  • | Citizen TV
    1,987 views
    Duration: 1:34
    Familia zaidi ya 50 kutoka vijiji vya Chesiywo, Kapkrong na Kimama katika wadi ya Chesikaki eneobunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma zinaishi kwa hofu baada ya mafuriko kuharibu mimea yao mashambani na pia kusomba nyumba na mifugo