Wakazi Wajir Kaskazini na Eldas wahudumiwa bure

  • | Citizen TV
    175 views

    Mamia ya wakazi wa maeneo ya Wajir Kaskazini na Eldas katika kaunti ya Wajir wamepata afueni kubwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa macho bila malipo, kupitia kambi maalum ya siku nne ya matibabu ya macho iliyoandaliwa na shirika moja