- 567 viewsDuration: 3:21Kundi la vijana la Laikipia Opinion Shapers limeandaa kambi ya uchunguzi wa dalili za saratani bila malipo katika maeneo ya mabanda ya Majengo, Nanyuki, kwa lengo la kuwaelimisha na kuhamasisha wakazi kuhusu umuhimu wa uchunguzi wa mapema. Sharon Nkonge anaarifu zaidi.