Wakazi walalamika ukosefu wa umeme mjini Garissa

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakaazi wa kijiji cha Bulla Masalani viungani mwa mji wa Garissa wanalalamikia kampuni ya kusambaza umeme ya Kenya Power kwa masaibu wanayoyapitia ya kusalia kwenye giza kwa muda mrefu licha ya wao kulipia huduma hiyo.