Wakazi wanaoishi kwa ardhi inayodaiwa kuwa ya Gereza kuu la Kitale watoa stakabadhi za umiliki

  • | West TV
    115 views
    Wakazi wanaoishi kwenye shamba tata la magereza kaunti ya Trans Nzoia wamejitokeza na stakabadhi za kuthibitisha umiliki wa ardhi hiyo na kuapa kuwa hawatakubali kufurushwa na kupokonywa haki yao.