22 Mar 2026 7:12 pm | Citizen TV 20,215 views Duration: 3:18 Wakazi wanaoishi maeneo ya chini ya bwawa la Nairobi sasa wameagizwa kuhama kufuatia kujaa kwa viwango vya maji. Mamlaka ya rasilimali za maji imetoa ilani hii ikiwataka wakaazi hao kuhamia maeneo salama.