Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wengi wa Awendo wakosa kujisajili kama wapigakura kwa kukosa vitambulisho

  • | Citizen TV
    353 views
    Duration: 2:09
    Na huko Awendo kaunti ya migori, viongozi wa kisiasa waliwakumbusha wakazi kujisajili kwa wingi kuwa wapigakura kabla ya muda uliowekwa kuisha. Mbunge wa Awendo, Walter Owino, aliyeongoza kampeni ya kuhamasisha umma kujisajili , alieleza kuwa kucheleweshwa kwa utoaji wa vitambulisho kumekuwa kikwazo kwa wakazi wengi wasiweze kujiandikisha kuwa wapigakura.