Wakazi wengi wa Lamu wakosa kufasiri kwenda bara

  • | Citizen TV
    1,201 views

    Idadi kubwa ya waumini wa dini ya kikristo Kisiwa cha Lamu hawakuweza kusafiri kujumuika na familia zao maeneo ya bara baada ya barabara kuu ya Lamu kwenda Witu na Garsen eneo la Gamba kuharibiwa na mafuriko