25 Sep 2025 1:55 pm | Citizen TV 144 views Duration: 1:40 Mamia ya wakazi wa Ilbisil , Kaunti ya Kajiado wamejitokeza kwa uwingi kujisajili kupata elimu ya watu wazima.