ELIMU BAINA YA KENYA NA MAREKANI
Wakenya elfu nane ambao tayari wamenufaika kutokana na mpango wa kubadilishana mafunzo kutoka nchini Marekani wanahitajika kuwajibika kuinua jamii zao. Akizungumza katika warsha iliyowajumuisha wakenya waliowahi kunufaika na mradi huo jijini Nairobi, kaimu balozi wa Marekani nchini Susan Burns aliwashauri wakenya hao kutumia ujuzi wao waliopata nchini Marekani kupata utatuzi utakaofaa ili kuimarisha huduma ya afya, kukuza uchumi pamoja na kuzisaidia jamii.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive