Wakenya kuendelea kuvumilia hali mbovu ya barabara

  • | K24 Video
    9 views

    Wakenya wataendelea kuvumilia hali mbovu ya barabara, hii ni baada ya serikali kusema kuwa ina uhaba wa rasilimali za kuendeleza maendeleo na utunzaji wa barabara kutokana na deni la zaidi ya shilingi bilioni 160 la wakandarasi. Waziri wa barabara Kipchumba Murkomen amesema wizara yake na kuondolewa kwa mswada wa fedha wa mwaka huu pamoja na kuondolewa kwa pendekezo la kuongeza kodi ya barabara.