Skip to main content
Skip to main content

Wakenya milioni 2 wakumbwa na ukame, viongozi wataka janga la kitaifa kutangazwa

  • | Citizen TV
    560 views
    Duration: 2:52
    Zaidi ya Wakenya milioni mbili wameathirka na ukame, huku kaunti kumi na moja zikwa katika orodha ya uhitaji mkubwa wa chakula na maji. Kulingana na shirika la msalaba mwekundu, zaidi ya watoto laki saba wanaugua utapiamlo kutokana na ukame nchini. Baadhi ya viongozi sasa wanamtaka rais William Ruto kutangaza ukame kama janga la kitaifa ili kuokoa mamilioni ya wakenya kutoka kwa makali ya njaa