Skip to main content
Skip to main content

Wakenya milioni 3.3 wanakumbwa na baa la njaa nchini

  • | Citizen TV
    110 views
    Wakenya milioni 3.3 kutoka kaunti 23, wako kwenye hatari ya njaa huku kaunti za Wajir, Mandera, Kwale na Kilifi zikiwa katika hali mbaya zaidi. Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki, aliyeongoza kikao cha kutathmini mikakati ya kukabiliana na hali hii akitangaza kutolewa kwa shilingi bilioni nne zaidi, kufanikisha mpango huo.