Wakenya mpakani wanunua petroli Tanzania

  • | Citizen TV
    6,929 views

    Madereva katika eneo la mpaka wa kenya na tanzania sasa wanaelekea nchini Tanzania kununua petroli na dizeli ambayo inauzwa nafuu nchini humo. Aidha, Wakenya wanaouza bidhaa hiyo mpakani wanalalamikia kupungua kwa biashara kutokana na kuongezwa kwa bei ya petroli na dizeli ambayo inauzwa sasa kwa zaidi ya shilingi mia mbili kwa lita