Wakenya saba wawasilisha kesi kupinga mswada wa ushuru wa nyumba

  • | Citizen TV
    5,415 views

    Watu saba zaidi wamewasilisha kesi mahakamani kupinga mswada wa nyumba wa mwaka 2023. Saba hao wanasema kuwa serikali inawatwika wananchi majukumu ambayo ni yake kupitia kwa mswada huo na hivyo inakiuka katiba.