Wakenya wahimizwa kukomesha unyanyapaa

  • | KBC Video
    7 views

    Wadau wa sekta ya afya katika kaunti ya Narok wametoa wito wa kuangamiza visa vya unyanyapaa na dhana potovu kuhusu watu wanougua kifafa. Wakati wa matembezi ya kutoa uhamasisho kuadhimisha siku ya kifafa duniani, maafisa hao wa matibabu walisema ubaguzi na unyanyapaa vimewanyima watu wanaougua kifafa huduma za matibabu na usaidizi wanaohitaji kudhibiti ugonjwa huo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive