Wakenya wahimizwa kukumbatia mbinu mbadala za kuzalisha chakula kufuatia mabadiliko ya tabianchi

  • | KBC Video
    5 views

    Kwa mujibu wa shirika hilo, ipo haja ya kuweka mikakati iya kuwezesha wakulima kujipatia kipato wakati huu ulimwengu unaposhuhudia ongezeko la gharama ya maisha. Shirika hilo limewahimiza Wakenya kukumbatia mbinu mbadala za kuzalisha chakula kufuatia mabadiliko ya tabianchi ili kuliwezesha taifa hili kujitosheleza kwa vyakula.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News