- 1,076 viewsDuration: 2:16Wakenya wameombwa kurudi katika shule za msingi walizosomea siku kuu ya Mazingira ambayo ni Ijumaa, ili kufanikisha shughuli za upanzi wa Miche ya matunda kwa ufadhili na upanzi wa Miche ya matunda milioni 100. Shughuli hiyo ya upanzi wa miti itaongozwa na maafisa wa serikali wa nyanjani.