Wakenya wajitokeza kusherehekea Madaraka Dei katika kaunti

  • | Citizen TV
    452 views

    Sherehe za Madaraka za kitaifa zilipokuwa zikiendelea kule Bungoma, maelfu ya wakenya walipata nafasi kufika katika kaunti mbalimbali kuungana na wenzao kote nchini kupiga darubini hatua zilizopgwa tangu taifa kujinyakulia utawala wa ndani. Chrispine Otieno anatujengea taswira jinsi hali ilivyokuwa maeneo mbalimbali nchini.