- 652 viewsDuration: 1:55Haya ni kwa mujibu wa utafiti wa hivi punde uliofanywa na kampuni ya TIFA ambao unaonyesha kuwa 48% ya wakenya hawana imani na tume hiyo. Kati ya kila watu watano waliohojiwa, ni mmoja tu ambaye alielezea kuwa na imani na tume hiyo, licha ya kuwepo kw amwenyekiti na makamishna wapya. Ni asilimia 18 pekee ambao wana imani kubwa na IEBC.