Wakenya Walia Huku Bajeti ya 2025 Ikiongeza Mzigo wa Kiuchumi

  • | K24 Video
    1,197 views

    Deni la taifa likizidi kuongezeka, huduma za umma zinazozorota, na mapendekezo tata ya ushuru yameweka bajeti ya mwaka huu chini ya darubini ya umma. Pamoja na mswada wa fedha wa mwaka 2025 kuendelea kujadiliwa, bunge linakabiliwa na shinikizo kubwa la kupangilia upya vipaumbele, huku mamilioni ya wakenya wakizidi kukumbwa na hali ngumu ya kiuchumi.