Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wamiminika siku ya mwisho ya uandikishaji wa wapiga kura

  • | Citizen TV
    756 views
    Duration: 4:38
    Wakenya wengi walikimbilia vituo vya usajili wa wapiga kura katika siku ya mwisho ya usajili endelevu ambao umekuwa ukifanyika kwa siku thelathini. Vituo vingi vilisajili zaidi ya asilimia hamsini ya malengo yake ya usajili wa wapiga kura wapya. Baadhi ya wananchi wanailalamikia kucheleweshwa kwa vitambulisho kama sababu ya kufika vituoni. Wale ambao hawakupata fursa ya kusajiliwa sasa watahitajika kufanya hivyo katika ofisi za IEBC katika maeneo ya bunge na vituo vya huduma kote nchini.