Wakenya washauriwa kujiunga na mashirika ya kijamii ili kujiendeleza

  • | Citizen TV
    348 views

    Wakenya kutoka matabaka tofauti wameshauriwa kujiunga na mashirika ya kijamii kama njia mojawapo ya kukabili ugumu wa maisha hususan nyakati za majanga