Wakenya washauriwa kusaidia familia masikini nchini

  • | Citizen TV
    161 views

    Huku zikiwa zimesalia siku chache waislamu waanze mfungo mtukufu wa Ramadhan , viongozi wa dini hiyo wanawarai wakenya kujitolea na kusimama na familia zisizojiweza