Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wawili wajishindia mamilioni kupitia Shabiki.com

  • | Citizen TV
    211 views
    Duration: 1:31
    Abel Nyambane, mhudumu wa bodaboda kutoka Thika, na Nelson Kipchirchir, mkulima wa kahawa kutoka Kaunti ya Nandi, wamejishindia mamilioni ya pesa kupitia mchezo wa Crash kwenye jukwaa la Shabiki.com. Nyambane alijishindia shilingi milioni 1.549,252 na amesema atatumia fedha hizo kununua pikipiki ili kupanua biashara yake ya bodaboda. Kwa upande wake, Kipchirchir alijishindia shilingi milioni 1.049,285 na anapanga kuwekeza katika teknolojia za kisasa za kilimo ili kuongeza uzalishaji wa kahawa. Kampeni ya Shabikia World Cup Kishabiki inaendelea kwenye Shabiki.com, huku washindi wakizawadiwa kila siku na jumla ya shilingi milioni tisa ikitarajiwa kutolewa kabla ya kampeni ya Kombe la Dunia kukamilika.