Wakenya zaidi ya 62,000 wanaishi kwenye kambi baada ya kutoroshwa makwao na mafuriko

  • | Citizen TV
    8,036 views

    Zaidi ya Wakenya 62,000 wamelazimika kuhama kwao kutokana na mafuriko yanayoendelea nchini baadhi yao wanaishi katika kambi mbalimbali za wakimbizi wa ndani kote nchini. Takwimu kutoka wizara ya usalama wa ndani zinaonyesha kuwa kuna zaidi ya kambi 138 za wakimbizi nchini. Na kama anavyoarifu Mary Muoki, kaunti za Nairobi na Tana River zinazoongoza kwa kuwa na kambi nyingi zaidi.