Skip to main content
Skip to main content

Wakilishi wadi katika Kaunti ya Migori wamekemea matukio ya hivi karibuni ya vurugu za kisiasa

  • | Citizen TV
    3,168 views
    Duration: 2:13
    Wakilishi wadi katika Kaunti ya Migori wamekemea matukio ya hivi karibuni ya vurugu za kisiasa zilizoripotiwa kati ya Gavana Ochilo Ayacko na Mbunge Peter Masara. Wawakilishi wadi hao wamesema malumbano hayo ya kisiasa yanadhalilisha kaunti nzima katika masuala ya maendeleo na demokrasia. Viongozi hao wanataka malumbano hayo yazimwe kabla ya uchaguzi mkuu kwani yakiendelea yatasababisha uhasama mkubwa.