4 Dec 2025 1:46 pm | Citizen TV 306 views Duration: 1:39 Mahafala 2,260 wanaoishi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma na Kalobeyei Turkana wamefuzu kuwa wataalamu wa teknolojia ya mtandao baada ya kupokea mafunzo kutoka chuo cha ufundi cha Don Bosco Kakuma.