Wakimbizi wa muda waishi katika mazingira duni Bura

  • | Citizen TV
    291 views

    Miezi minane baada ya kuathiriwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa iliyonyesha nchini, maelfu ya waathiriwa wameendelea kuishi kwenye mazingira duni kwenye kambi kadhaa maeneo ya Tana River. Mojawapo ya kambi hizi ni ile ya Bura, ambako waathiriwa wanaishi kwa hali ngumu na sasa wanahofia kuambukiwa magonjwa. Maryanne Nyambura amerejea kutoka Tana River na hii hapa taarifa yake