- 253 viewsDuration: 2:11Siku chache baada ya Rais William Ruto kutangaza mpango wa kusaidia familia 900 za wakimbizi kwa kuwapatia shilingi milioni 18 ili warejee katika mashamba ya Ndonga na Kisima yaliyoko eneo la Lanet, Kaunti ya Nakuru, vuguvugu la wakimbizi wapatao 250,000 wanaoishi miongoni mwa jamii katika kaunti 22 limejitokeza kutoa ombi maalum kwa serikali.