18 Feb 2026 1:16 pm | Citizen TV 306 views Duration: 1:51 Leo ni Jumatano ya majivu ambayo huashiria mwanzo wa siku Arobaini za kujinyama, kusali na kuwasaidia wasiojiweza miongoni mwa waumini wa kikristo haswa wa kanisa katoliki.