- 267 viewsDuration: 2:13Wakurugenzi wa vyama vya ushirika kutoka eneo bunge la Mlima Elgon Kaunti ya Bungoma wamewalaumu maafisa wa usalama kutoka eneo hilo kwa kile wanachodai ni kushirikiana na madalali wa kahawa kutoka taifa jirani la Uganda wanaonunua zao hilo kwa wakulima.