Wakulima Bungoma wataka uwajibikaji wa mbolea ghushi

  • | Citizen TV
    68 views

    Wakazi wa Kimilili katika kaunti ya Bungoma sasa wanataka hatua zifaazo kuchukuliwa dhidi ya wahusika wa usambazaji wa pembejeo ghushi nchini pamoja na kurejeshwa kwa pesa za wakulima walioathirika.