- 156 viewsDuration: 3:21Wakulima katika mji wa Eldoret wanabadilisha mtazamo wao kuhusu upandaji wa mahindi, huku mkulima mmoja akianzisha mbinu mpya inayoweza kuongeza mavuno kwa kiasi kikubwa. Kwa kubadili kutoka kupanda mbegu moja kwa moja shambani hadi kupandikiza miche iliyolelewa kwenye vyombo maalum, mbinu hii inaahidi mazao imara na udhibiti bora wa shamba. Lakini je, ni tofauti gani na njia ya kawaida?