Wakulima katika kaunti ya Nandi wapewa mafunzo ya kuimarisha zao la kahawa

  • | Citizen TV
    243 views

    Zaidi ya Viongozi 200 wa mashirika ya kahawa Kaunti ya Nandi wamepokea mafunzo kuhusu mbinu mbalimbali ya kuboresha ukuzaji na uuzaji wa zao la kahawa humu nchini.