Skip to main content
Skip to main content

Wakulima kaunti ya Makueni wanufaika na mitego ya wadudu

  • | Citizen TV
    208 views
    Duration: 3:08
    Wakulima elfu kumi na tano wa maembe kaunti ya Makueni wamenufaika na mitego ya kuwasaidia kukabiliana na wadudu waharibifu wa maembe. Mpango huo unalenga kuwasaidia wakulima kuboresha kilimo cha Maembe kaunti hiyo na kuweza kutafuta soko la mazao yao nje ya nchi.