- 478 viewsDuration: 2:50Mamia ya Wakazi wa kaunti ya Siaya sasa wanaitaka serikali ya kaunti kuimarisha huduma za kilimo ili wafanikishe kilimo cha maparachichi. Wakazi hao ambao sasa wamezamia upanzi wa miparachichi aina ya Hass , wanasema wamepata msukumo wa kupanda tunda hilo kutokana na soko kubwa la kitaifa na kimataifa.