Wakulima Laikipia wametakiwa kukumbatia teknolojia

  • | Citizen TV
    56 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Laikipia na maeneo yaliyo karibu wametakiwa kutumia mbinu za kisasa za kilimo na kuhifadhi maji.