14 Sep 2026 10:45 am | Citizen TV 263 views Duration: 2:05 Katika jitihada za kuongeza mavuno, wakulima katika Kaunti ya Laikipia wanatarajiwa kunufaika na shughuli ya upimaji wa rotuba ya udongo ili kutambua upungufu wa madini yanayohitajika kwa ukuzaji bora wa mimea.