Wakulima Lungalunga wapokea mbegu za Pojo na Kunde

  • | Citizen TV
    184 views

    Zaidi ya wakulima 700 katika eneo la Lungalunga kaunti ya Kwale wamenufaika na mbegu za pojo na kunde kwa matayarisho ya upanzi mvua zikitarajiwa kunyesha karibuni. Wakulima hao wamepokea mafunzo ya kilimo bora yatakayowawezesha kupata mazao mengi kutoka serikali ya kaunti ya Kwale kwa ushirikiano na shirika na la Kids Care na serikali ya kitaifa.