Wakulima Makueni wajitahidi kulima machungwa

  • | Citizen TV
    2,058 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Makueni wamekaza kamba kuendeleza kilimo cha machungwa ya pixies kwa kuongeza ekari za mashamba wanayotumia kukuza matunda haya. Tayari baadhi ya wakulima wameanza kuvuna matunda haya na kuenea kwenye masoko ya hapa nchini na hata kimataifa.