Wakulima Mlima Elgon washauriwa kukumbatia upanzi wa Majani chai

  • | West TV
    40 views
    Waziri wa Kilimo Mithika Linturi amewataka wakulima wa eneo bunge la Mlima Elgon kupanda majani chai kwa wingi ili serikali inapoekeza katika ujenzi wa kiwanda cha majani chai katika eneo hilo,tayari kuwepo na majani ya kutosha akiitaka serikali ya kaunti kushirikiana na ile ya kitaifa.