- 451 viewsDuration: 3:06Wakulima kutoka eneo la Moiben kaunti ya Uasin Gishu wamepewa mafunzo maalum ya kilimo biashara na umuhimu wa kutumia teknolojia ili wapate mazao maradufu. Mafunzo haya yalitolewa kwenye kongamano la wakulima lililoanza hapo jana