Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Murang'a walalamikia malipo duni ya bonasi ya majani chai

  • | Citizen TV
    245 views
    Duration: 2:02
    Wakulima wa chai wamehimiza serikali kupitia wizara ya kilimo kutafuta njia za kuongeza thamani ya chai ya Kenya ambayo itavutia soko bora za kigeni na kuleta faida zaidi kwa wakulima.