Wakulima na wafugaji kunafaika na uwekezaji huko Lamu

  • | Citizen TV
    38 views

    Serikali ya kitaifa ikishirikiana na serikali ya kaunti ya Lamu inalenga kuinua uchumi wa wakulima, wavuvi sawia na wafugaji wa lamu kwa kuboresha vyama vyao vya ushirka pamoja na kuwajengea viwanda vitakavyoongeza thamani ya mazao yao.