Wakulima Samburu wahimizwa kutumia mbinu za kale

  • | Citizen TV
    248 views

    Wakulima katika kaunti ya Samburu wamehimizwa kutumia mbinu za kale kuendeleza kilimo na kuboresha rotuba ya mchanga.hatua hiyo inalenga kuboresha uzalishaji wa chakula Kaunti hiyo