Wakulima Tharaka Nithi wapanda miti ya moringa

  • | Citizen TV
    367 views

    Wakulima katika Kaunti ya Tharaka Nithi sasa wameshabikia kilimo cha mti wa Moringa kama suluhu la kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza mapato yao. Baadhi ya wakulima wanabadilisha ardhi isiyo na tija kuwa biashara yenye mafanikio