Wakulima Trans Nzoia wapata pembejeo bila malipo

  • | Citizen TV
    245 views

    Kaunti ya Trans Nzoia ina uwezo wa kuzalisha zaidi ya magunia milioni saba ya mahindi kila mwaka, lakini umaskini umeathiri juhudi za wakulima. wakulima wanalalamikia bei ghali ya pembejeo na kutaka serikali ya kaunti kuwapiga jeki ili waweze kukuza chakula cha kutosha.