Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa chai Sang’anyi walalamikia kutolipwa

  • | Citizen TV
    356 views
    Duration: 1:32
    Baadhi ya wakulima wa majani chai kutoka kiwanda cha Sang'anyi katika kaunti ya Nyamira, wametishia kugoma kuchuma chai ili kuwashurutisha wakurugenzi wa kiwanda hicho kuwalipa kulingana na maagizo ya bodi ya majani chai nchini.