Wakulima wa kiwanda cha sukari cha Nzoia kulipwa Januari

  • | Citizen TV
    1,032 views

    Mwenyekiti wa bodi ya kiwanda cha sukari cha Nzoia Alfred Khang'ati amewahakikishia wakulima wanaodai kiwanda hicho takribani shillingi millioni 272 kwamba watalipwa kabla ya tarehe nane mwezi Januari.